Beki wa Simba, Mbonde
Kipa wa Simba, Nduda
Kocha wa viungo Simba kushoto na beki wa timu hiyo, Erasto Nyoni
Wednesday, February 28, 2018
Thursday, February 22, 2018
MEYA WA JIJI LA DAR ES SAAM, ISSA MWITA, KUSHOTO AKIZUNGUMZA NA MEYA WA MJI WA BLANTYRE NCHINI MALAWI, WILD NDIPO, JIJINI DAR ES SALAAM
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita (kushoto), akisalimiana na mgeni wake Meya wa Jiji la Blantyre, Wild Ndipo, walipokutana akiwa na ujumbe wa madiwani watatu ofisini kwakwe na kufanya mazungumzo.
PICHA DOUBL J BLOG
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita wa kwanza kushoto akizungumza na ujumbe wa wageni kutoka Nchini Malawi, Meya wa jiji la Blantyre Wild Ndipo katikati na madiwani wake walipomtembelea leo ofisini kwakwe. PICHA DOUBL J BLOG
Wednesday, February 21, 2018
UUSAILI MABONDIA WA MKOA WA DAR ES SALAAM WAKAMILIKA
Baadhi ya mabondia wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa nje ya Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana baada ya kuchaguliwa kuwakilisha Mkoa. PICHA NA DOUBLE J BLOG
ASASI ZA HAKI ZA BINADAMU ZALALAMIKIA UVUNJIFU WA HAKI TANZANIA
Mkurugenzi
wa Umoja wa Asasi za Haki za bindamu Tanzania, Onesmo Olengurumwa (kushoto), akizunumza na waandishi
wa habari Dar es Salaam jana kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu
zinazoendelea hapa nchini kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Haki
za binadamu (LHRC), Paul Mikongoti.PICHA NA DOUBLE J BLOG
Wednesday, February 7, 2018
BUNGE LA KUMI KIKAO CHA SITA CHAWASHA MOTO DODOMA
Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa akiuliza swali Bungeni mjini Dodoma katika kikao cha sita bunge la kumi. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, CCM na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akijadili jambo ndani ya ukumbi wa Bunge Dodoma wakati wa kikao cha sita bunge la kumi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangala kushoto, na Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo, Dk. Harison Mwakyembe wakisiliza hoja iliyoelekezwa wizara ya Maliasili Bungeni Dodoma kikao cha sita bunge la kumi
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi kushoto akiteta jambo na Waziri wa Sheria na Katiba, Profesa, Palamagamba Kabudi Bungeni Dodoma juzi. PICHA NA DOULBE J BLOG

Subscribe to:
Posts (Atom)