Kocha wa Makipa wa timu ya wanawake Tanzanite, Telly Deodatus kulia, akitoa mazoezi kwa makipa wa timu hiy wakati walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja Karume Dar es Salaam Agost 19
Watoto wanalelewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF wakibeba goli wakati walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Karume Agost 19
Kocha anayewafundisha wa wanalelewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Maalim Salehe akiwaelekeza jambo watoto hao wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Karume Agost
19
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa akizungumza
na waandiashi wa habari Dar es Salaam Agost 19 kuhusu kuzagaa kwa
habari kuwa Serikali ya Tanzania kuzuiliwa kwa Ndege yake nchini Canada
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa akizungumza na waandiashi wa habari Dar es Salaam Agost 19 kuhusu kuzagaa kwa habari kuwa Serikali ya Tanzania kuzuiliwa kwa Ndege yake nchini Canada
No comments:
Post a Comment