Friday, January 26, 2024

OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024


Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa mwaka 2024 wenye lengo la  kukutanisha wanachama kufungua mwaka pamoja na kupanga mikakati mbalimbali ya kimaendeleo katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo. Miongoni mwa waadau walioalikwa katika mkutano huo ni Mfuko Wa Uwekezaji Wa Pamoja ulionzishwa na Serikali  (UTT Amis ), Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) , Mstaafu Forum na wadau wengine wa Technolojia. Mkutano huo ulifanyika makao makuu mwa Taasisi hiyo Kitunda.

 

Mkurugenzi wa Mstaafu Forum, Charles Ligonja akitoa somo la ushirikiano kwenye vikundi wakati mkutano wa kwanza wa mwaka 2024 wenye lengo la  kukutanisha wanachama wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO),   kufungua mwaka pamoja na kupanga mikakati mbalimbali ya kimaendeleo katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo.

 

Ofisa Masoko wa Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja ( UTT Amis ), Medson Enock akitoa somo la uwekezaji wa hati fungani wakati mkutano wa kwanza wa mwaka 2024 wenye lengo la  kukutanisha wanachama Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO),  kufungua mwaka pamoja na kupanga mikakati mbalimbali ya kimaendeleo katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo.

 

Wadau Kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)b wakitoa elimu ya kujiwekea akiba wakati mkutano wa kwanza wa mwaka 2024 wenye lengo la  kukutanisha wanachama wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO),   kufungua mwaka pamoja na kupanga mikakati mbalimbali ya kimaendeleo katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanachama wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO),  wakisiliza mada zitolewazo wakati wa wakati mkutano wa kwanza wa mwaka 2024 wenye lengo la  kukutanisha wanachama kufungua mwaka pamoja na kupanga mikakati mbalimbali ya kimaendeleo katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo. Miongoni mwa waadau walioalikwa katika mkutano huo ni Mfuko Wa Uwekezaji Wa Pamoja ulionzishwa na Serikali  (UTT Amis ), Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) , Mstaafu Forum na wadau wengine wa Technolojia. Mkutano huo ulifanyika makao makuu mwa Taasisi hiyo Kitunda.