Thursday, July 27, 2023

CRDB YAWAPA MITAJI WANACHAMA WA OMTO KUPITIA IMBEJU


 Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( wa pili kushoto), Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB, Vanessa Ng`wigulu ( kushoto ), Mwenyekiti wa kikundi cha Kipaji Changu, Anastazia Mateo ( wa pili kulia ) na Katibu wa Wanawake wa OMTO, Kandida Makubi wakionyesha fomu za kujaza kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya taasisi hiyo jijini Dar es Salaama leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Ofisa Maendeleo Kata ya Kitunda, Betty Mzava akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB, Vanessa Ng`wigulu akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule akitambulisha baadhi ya walimu wa vikundi vilivyopo chini ya taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Katibu wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Eliwaza Joseph akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( kushoto)  akimtambulisha Katibu wa Wanawake wa taasisi hiyo, Kandida Makubi wakati wa kikao hicho jijini Dar es Salaam leo


Mweka Hazina wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Eugenia Shayo akizungumza katika hafla hiyo.




Baadhi ya viongozi waalikwa wakizungumza katika hafla hiyo


Maofisa wa Benki ya CRDB wakiendelea na zoezi la kufungua akaunti za IMBEJU jijini Dar es Salaam leo kwa wanachama wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) .



Baadhi ya Viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Anna Haule jijini Dar es Salaam leo.

Saturday, July 8, 2023

BONANZA LA KIJANA JITAMBUE LALETA NEEMA KITUNDA

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited na Mlezi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation, Anita Gimero Waitara ( wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Vailet  Samson Mwazembe ( wa tatu kushoto ) wakikabidhi mbuzi kwa mshindi wa kwanza wa Bonanza la kijana jitambue wa timu ya Kitunda FC, Kapteni Joseph Kateti ( kulia) jijini Dar es Salaam jana.Wengine kutoka kushoto ni Msemaji wa Okoa Jamii Kupitia Saratani ( OJAKUTA), Hadija Kondo na Mwenyekiti wake, Anne Migila.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited na Mlezi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation, Anita Gimero Waitara akizungumza wakati wa Bonanza la kijana jitambue liliofanyika katika viwanja vya Kitunda jijini Dar es Salaama jana. Bonanza hilo limehusidha timu 6 zilizopo katika kata ya Kitunda ni mwendelezo wa Taasisi kuksanya vijana pamoja na kuwakomboa wajitambue kifikra na kuepuka wizi, ubakaji, utumiaji wa madwa ya kulevya, ushoga na kuwa na maono endelevu.

Mkurugenzi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation,Vailet  Samson Mwazembe akizungumza wakati wa Bonanza la kijana jitambue liliofanyika katika viwanja vya Kitunda jijini Dar es Salaama jana. Bonanza hilo limehusidha timu 6 zilizopo katika kata ya Kitunda ni mwendelezo wa Taasisi kuksanya vijana pamoja na kuwakomboa wajitambue kifikra na kuepuka wizi, ubakaji, utumiaji wa madwa ya kulevya, ushoga na kuwa na maono endelevu.


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited , Anita Gimero Waitara ( aliyevaa nguo ya njano ) akikabidhi zawadi ya pesa taslimu shilingi laki moja kwa washindi wa kwanza wa bonanza la kijana jitambue, Kitunda Fc lililofanyika katika viwanja vya Kitunda jijini Dar es Salaam jana.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited , Anita Gimero Waitara akitoa zwadi kwa mfungaji bora wa Bonanza hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited , Anita Gimero Waitara ( wa pili kushoto) akitoa zawadi ya mpira kwa mshindi wa tatu Bonanza la kijana jitambue wa Timu ya Santos Fc, Yusufu Ramadhani jijini Dar es Salaam jana.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited , Anita Gimero Waitara  akitoa zawadi ya mipira miwili kwa mshindi wa pili Bonanza la kijana jitambue wa Timu ya Chembe Fc, Akida Mohamed jijini Dar es Salaam jana.



Baadhi ya Vijana wa kata ya Kitunda wakihudhuria kusikiliza semina ya kijana jitambue baada ya kumaliza bonanza hilo lililofanyika katika viwanja vya kitunda jijini Dar es Salaama jana.