Wednesday, February 28, 2018

Thursday, February 22, 2018

MEYA WA JIJI LA DAR ES SAAM, ISSA MWITA, KUSHOTO AKIZUNGUMZA NA MEYA WA MJI WA BLANTYRE NCHINI MALAWI, WILD NDIPO, JIJINI DAR ES SALAAM


Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita (kushoto), akisalimiana na mgeni wake Meya wa Jiji la Blantyre, Wild Ndipo, walipokutana akiwa na ujumbe wa madiwani watatu ofisini kwakwe na kufanya mazungumzo.
PICHA DOUBL J BLOG

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita wa kwanza kushoto akizungumza na ujumbe wa wageni kutoka Nchini Malawi, Meya wa jiji la Blantyre Wild Ndipo katikati na madiwani wake walipomtembelea leo ofisini kwakwe. PICHA DOUBL J BLOG

Wednesday, February 21, 2018

UUSAILI MABONDIA WA MKOA WA DAR ES SALAAM WAKAMILIKA

Baadhi ya mabondia wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa nje ya Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana baada ya kuchaguliwa kuwakilisha Mkoa. PICHA NA DOUBLE J BLOG

ASASI ZA HAKI ZA BINADAMU ZALALAMIKIA UVUNJIFU WA HAKI TANZANIA

Mkurugenzi wa Umoja wa Asasi za Haki za bindamu Tanzania, Onesmo  Olengurumwa (kushoto), akizunumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu zinazoendelea hapa nchini kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Haki za binadamu (LHRC), Paul Mikongoti.PICHA NA DOUBLE J BLOG

Wednesday, February 7, 2018

BUNGE LA KUMI KIKAO CHA SITA CHAWASHA MOTO DODOMA

 Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa akiuliza swali Bungeni mjini Dodoma katika kikao cha sita bunge la kumi. PICHA NA DOUBLE J BLOG

 Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, CCM na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akijadili jambo ndani ya ukumbi wa Bunge Dodoma wakati wa kikao cha sita bunge la kumi

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangala kushoto, na Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo, Dk. Harison Mwakyembe wakisiliza hoja iliyoelekezwa wizara ya Maliasili Bungeni Dodoma kikao cha sita bunge la kumi

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi kushoto akiteta jambo na Waziri wa Sheria na Katiba, Profesa, Palamagamba Kabudi Bungeni Dodoma juzi. PICHA  NA DOULBE J BLOG