Tuesday, August 29, 2017

CHAMA CHA SOKA MKOA WA DAR ES SALAAM DRFA YAVAMIWA NA MAJAMBAZI

 Mmoja wa viongozi wa DRFA akizungumza na wanhabari baada ya ofisi yao kuvamiwa na majambazi

Viongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam DRFA wakiwa nje ya ofisi hizo baada ya kuvamiwa na majambazi jana

GF TRUCKS EQUIPMENT YATANGAZA KUIZAMINI TIMU YA MBAO FC

 Ofisa Masoko wa Kampuni ya GF Trucks Equipment, Kulwa Bundala (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kutangaza kuizamini timu ya Mbao FC kushoto ni Mkurugenzi wa kampunin hiyo, Imran Karamal, na kulia ni Mwenyekiti wa timu hiyo, Soly Njashi
 Wakitambulisha jezi watakazo tumia timu hiyo
Mwenyekiti wa Timu ya Mbao FC, Soly Njashi kulia akiwashukuru viongozi wa Kampuni ya GF katikti. Mkurugenzi wa kampunin hiyo, Imran Karamal, kushoto ni Ofisa habari wa TFF, Alfred Lucas

TFF YAANDIKA UPYA NGSO YA HISANI BAADA YA KUWA NA KASORO

 Ofisa habari wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Alfred Lucas, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salam baada ya Shirikisho hilo kuiandika upya ngao ya hisani iliyokuwa na kasoro

Ofisa habari wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Alfred Lucas, akiwanyesha  waandishi wa habari Dar es Salam  ngao ya hisani baada ya kulekebishwa kasoro

TAIFA STARS WAKIFANYA MAZOEZI UWANJA WA UHURU DAR ES SALAM AGOST 29 2017

 Wachezaji wa Taifa Stars, Said Ndemla (kulia), na Elis Maguli wakiwania mpira  wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Agost 29 kwa mandalizi ya mchrzo wao wa kirafiki dhidi ya Botswana

 Wachezaji wa Stars

  Wachezaji wa Stars


 Meneja wa Taifa Stars, Daniel Msangi (kulia) akimkabidhi kikombe mchezaji wa timu hiyo, Shiza Kichuya baada ya kuibuka kuwa mchezaaji aliyefunga bao zuri katika mchezo wa ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting

 Shiza Kichuya akiwa ameshikilia kikombe baada ya kuibuka kuwa mchezaaji aliyefunga bao zuri katika mchezo wa ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting


Kocha wa Stars,Salum Mayanga (kushoto), akizungumza na mmoja wachezaji wa timu hiyo

Saturday, August 26, 2017

SIMBA WAIPIGA RUVU SHOOTING BAO 7-0 UHURU JIJINI DAR ES SALAAM AGOST 26

 Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya kupata bao dhidi ya Ruvu Shooting jana
 Erasto Nyoni akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting
 Mohammed Ibrahim kulia akimtoka mchezaji wa Ruvu Shooting, Manganisa Mbonosi katika mchezo wao wa ligi Kuu Tanzania bara jana Agost 26 2017
 Winga wa Simba, Shiza Kichuya kushoto, akiwania mpira na mchezaji wa Ruvu Shooting, Said Madega wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu jana

 Okwi apiga nne (4) abeba mpira



 Kikosi cha Ruvu Shooting kilichjeza na Simba Agost 26 2017
Kikosi cha Simba kilichocheza na Ruvu Shooting Agost 26 2017

Friday, August 25, 2017

MICHEZO MBALIMBALI LEO AGOSTI 25

 Mchezaji Gofu wa Tanzania Richard Mtweve akipiga kipira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam
 Mchezaji Gofu wa Rwanda, James Ndikumana akitumbukiza akifunga wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam

Mchezaji Gofu wa Ethiopia  akipiga kipira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam

Mchezaji Gofu wa Rwanda, Frangois H, akijiandaa kupiga kipira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam


Mchezaji Gofu wa Tanzania, Isace Wanyeche akipiga kipira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam

Mchezaji Gofu wa Tanzania, Isace Wanyeche akipiga kipira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam


Mchezaji Gofu wa Rwanda, Frangois H, akijiandaa kupiga kipira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam



Katibu wa Ubalozi wa China hapa nchini, Liu Yun (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu ubalozi huo kudhamini mashindano ya Wushu ya Kimataifa yatakayofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam, (kushoto) ni Rais wa mchezo huo hapa nchini, Mwarami Mitete. 

 Katibu Mkuu wa mchezo wa Wushu, Sempai Kapipa kushoto akizungumza na wanahabari Dar es Salaam jana kuhusu maandalizi ya mchezo huo