Sunday, January 28, 2018

SIMBA ATAFUNA MFUPA ULIOMSHINDA YANGA YAIPIGA NNE BILA YAPAA KILELENI

 Okwi kulia akishangilia bao lake la pili

 Kepten Bocco kulia akimpiga tobo mchezaji wa Majimaji, Lucas Kitoti,

 Furaha tupu

Mashabiki wa Simba wakiwa na furaha

Saturday, January 27, 2018

YANGA WAIPIGA AZAM KWAO

 Yakubu Mohammed kulia wa Azam akipambana na wacezaji wa Yanga
 Wachezaji wa Yanga wakishangilia

Mashabiki wa Yanga

Saturday, January 13, 2018

Wednesday, January 10, 2018

YANGA YATOLEWA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI NA URA YA UGANDA PICHA NA DOUBLE J BLOG

 Winga wa Yanga, Emannuel Martin katikati, akijalibu kuwatoka wachezji wa URA
 Mchezaji wa Yanga, Ibrahim Ajib kulia, akipambana na mchezaji wa URA, Kabaga Nicholas, wakati wa mchezo wa Nusu Fainal ya Kombe la Mapinduzi
Mshambuliaji wa Ynga, Obrey  Chirwa, katikati, akiwaruka wachezaji wa URA ya Uganda katika mchezo wao wa Nusu Fainali ya michuano ya kombe laMapinduzi uliofanyika kwenye Uwanja wa  Amani PICHA NA DOUBLE J BLOG

Tuesday, January 9, 2018

MUSLIM HASSANAL WA CHADEMA AJIUNGA NA CCM PICHA NA DOUBLE J BLOG

 Aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal daada ya kujiunga na CCM Dar es Salaam leo

 Aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal, akilakiwa na wanachama wa CCM daada ya kujiunga na caham hicho Dar es Salaam leo. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philipo Mangula kulia akimsalimu aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal daada ya kujiunga na CCM Dar es Salaam leo


Sunday, January 7, 2018

MKUTANO WA MATAWI YA YANGA WAKWAMA


Wanachana wa Klabu ya Yanga matawi ya Dar es Salaam wakiwa nje ya jengo la klabu hiyo kusubili hatma ya mkutano wao baada ya viongozi wao kuitwa kituo cha Polisi. PICHA NA DOUBLE J BLOG