Friday, September 29, 2017

GAVANA BENNO NDULU AWATUNUKU WAHITIMU WA TAALUMA YA KIBENKI


Profesa Benno Ndulu, akiongza maandamano wakati wa Mahafari ya Kuitimu mafunzo ya taaluma ya kibenki yaliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Picha na Double J Blog
Profesa Benno Ndulu, akiongza maandamano wakati wa Mahafari ya Kuitimu mafunzo ya taaluma ya kibenki yaliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Picha na Double J Blog

Baadhi ya wahitimu wakiwa kwenye maandamano wakati wa Mahafari ya Kuitimu mafunzo ya taaluma ya kibenki yaliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha na Double J Blog


Thursday, September 28, 2017

VODACOM NA TAASISI YA BRIDGE FOR CHANGE WAPAMBANA KUENDELEZA UWEZO WA WANAFUNZI MASHULENI WAKABIDHI KOMPYUTA KWA SHULE ZA MIEMBE SABA NA KILANGALANGA ZOTE ZA MLANDIZI MKOANI PWANI

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondary, Miembe Saba iliyopo Mlandizi Mkoa wa Pwani juzi baada ya kuwakabidhi Kompyuta ili kujiongezea uwezo katika masomo ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia kompyuta nyingine kwa Shule Kilangalanga mkoani humo kwa kushirikiana na Taasisi ya Bridge For Change. PICHA NA DOUBLE J BLOG


 Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondary, Miembe Saba na Shule ya Sekondary, Kilangalanga zilizopo Mlandizi Mkoa wa Pwani juzi baada ya kuwakabidhi Kompyuta ili kujiongezea uwezo katika masomo


 Wanafunzi wa Shule ya Sekondary Kilangalanga wakiwa wamebeba kompyuta walizo kabidhiwa na Vodacom Tanzania

 Mkurugenzi na mwanzilishi wa Taasisi ya Bridge For Change, Ocheck Msuva, akizungumza wakati wa hafla ya kuwakabidhi Kompyuta za kujiongezea uwezo katika masomo kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania


Katibu Tawala Wilaya ya Kibaha, Sozi Ngate (kulia) akipokea Kompyuta kwa niaba ya wanafunzi wa Shule za Sekondary, Miembe Saba na Kilangalanga, kutoka kwa viongozi wa Vodacom na Taasisi ya Bridge For Change katika hafla iliyofanyika mkoani humo. PICHA NA DOUBLE J BLOG
 Ofisa Mahusiano wa Vodacom, Matina Nkurlu akitoa neno la shukran baada ya Kampuni hiyo kukabizi Komputya


Wednesday, September 27, 2017

LWANDAMINA NA MENEJA WA YANGA, HAFIDH SALEH WAOKOA JAHAZI MGOGORO WA MCHEZAJI WAO NA MPIGA PICHA WA NEW HABARI 2006 LIMITED

 Kocha wa Yanga, George Lwandamina (katikati) akimuomba mpiga picha wa New habar, John Dande (kulia) kumsamehe mhezaji wa timu hiyo, Obrey Chirwa kutokana na kitendo alichomfanyia
cha kumshambulia mwilini
 Kocha wa Yanga, George Lwandamina (katikati) akimuomba mpiga picha wa New habar, John Dande (kulia) kumsamehe mhezaji wa timu hiyo, Obrey Chirwa kutokana na kitendo alichomfanyia


Mchezaji wa Yanga, Obrey Chirwa wa pili (kushoto), akimkataza mpiga picha asipige picha wakati wa kusuruhisha mgogoro wake na mpiga picha wa Kampuni ya New habari 2006 LTD, John Dande kutokana na mchezaji huyo kupiga

YANGA WAKIENDELEA NA MAZOEZI JANA UWANJA WA UHURU

 Wachezaji Yanga wakifanya mazoezi jana

 Wachezaji Yanga wakifanya mazoezi jana

 Hamis Tambwe akifanya mazoezi ya kutembea katika uwanja wa uhuru Dar es Salaam jana
 Wachezaji Yanga wakifanya mazoezi jana

 Wachezaji Yanga wakifanya mazoezi jana


Wachezaji Yanga wakifanya mazoezi jana

Monday, September 25, 2017

AZAM FC WAIFUNGA LIPULI FC BAO 1-0

 Kikosi cha Azam FC kilichoanza mchezo na Lipuli FC
 Mashabiki wa Azam FC wakishangilia wakati wa mchezo wao dhi ya Lipuli FC


 Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yusuph mbele akimtoka beki wa Lipuli FC, Novaty Lufunga
 Kikosi cha Lipuli kichoanza na Azam FC

 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao dhidi ya Lipuli FC

Mashabiki wa Azam FC wakishangilia wakati wa mchezo wao dhi ya Lipuli FC

Sunday, September 24, 2017

JUMUIYA YA MAKHOJA WAJITOLEA DAMU KWA AJILI YA MFUKO WA TAIFA

 Baadhi ya wanajumuiya ya Khoja wakitoa damu wakati juhuiya hiyo ilipojitolea damu kwa ajili ya mfuko wa Taifa Dar es Salaam jana Picha na Double J Blog


 Mtaalamu wa afya jutoka Wizara ya afya na ustawi wa jamii, Peter Chawai akimtoa damu mmoja wa jumuiya hiyo

 Baadhi ya wanajumuiya ya Khoja wakisubili kujiandikisha kutoa damu wakati juhuiya hiyo ilipojitolea damu kwa ajili ya mfuko wa Taifa Dar es Salaam jana Picha na Double J Blog

Friday, September 22, 2017

WANAFUNZI VIZIWI WASHEREHEKEA SIKU YA VIZIWI DUNIANI

 Wanafunzi wa Shule ya msingi viziwi Buguruni Dar es Salaam wakicheza ngoma wakati wa maandimisho ya siku ya viziwi duniani septemba 22

 Diwani wa Kata ya Buguruni, Adam Rajabu (katikati), akicheza muziki wa wanafunzi wa viziwi wakati wa maadhimisho yao duniani kote

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Mirembe Kulwa, akicheza muziki na wanafunzi viziwa wa Shule hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya viziwi duniani

YANGA TIZI KALI SANAA KWA KUIANGAMIZA NDANDA FC

Wachzaji Yanga, Obrey Chirwa (kushoto) na Nahodha wa timu hiyo, Nadiri Cannavaro wakiwania mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo jijini Da res Salaam


Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina na Meneja wa timu, Hafidhi Saleh, wakizungumza na mchezaji wao, Pato Ngonyani, wakati wa mazoezi ya timu hiyo

Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina na Meneja wa timu, Hafidhi Saleh, wakizungumza wakati wa mazoezi ya timu hiyo. Picha zote na Double J Blog

Thursday, September 21, 2017

TIMU YA TAIFA YA RIADHA WAENDELEA KUFANYA MAZOEZI UWANJA WA TAIFA

 Mwanariadha wa timu ya Taifa akitimua mbio wakai alipokuwa akifanya mazoezi

  Mwanariadha wa timu ya Taifa akitimua mbio wakai alipokuwa akifanya mazoezi

  Mwanariadha wa timu ya Taifa akitimua mbio wakai alipokuwa akifanya mazoezi

Wanariadha wa timu ya Taifa wakijiandaa kutimua mbio wakai walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Picha na Double J Blog


Wanariadha wa timu ya Taifa wakitimua mbio wakai walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Picha na Double J Blog

MABONDIA WA TIMU YA TAIFA WAFANYA MAZOEZI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA MADOLA


Mabondia wa timu ya Taifa, Ismair Ngalikama (kulia) na Mwarami Ngayama, wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Ndani wa Taifa Dar es Salaam jana kwa maandalizi ya michuano ya madola. 

 Mabondia wa timu ya Taifa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es Salaam jana. Picha zote na Double J Blog

Mabondia wa timu ya Taifa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es Salaam jana

YANGA WAENDELEZA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA UHURU

 Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina kulia akimpa maelekezo mchezaji wake, Ninja

 Kipa wa Yanga, Beno Katolanya

 Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina kulia akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Uhuru jana

  Ngoma kushoto akiwatoka wenzake

 Ngoma kushoto akipamban  na Hassan Kessy

Kocha wa Yanga, Lwandamina kulia na Kamusoko wakijadili jambo

KOCHA WA YANGA NA KAMUSOKO

Kamusoko kushoto  na kocha wake Lwandamina