Kocha wa Yanga, George Lwandamina (katikati) akimuomba mpiga picha wa
New habar, John Dande (kulia) kumsamehe mhezaji wa timu hiyo, Obrey
Chirwa kutokana na kitendo alichomfanyia
cha kumshambulia mwilini
Kocha wa Yanga, George Lwandamina (katikati) akimuomba mpiga picha wa New habar, John Dande (kulia) kumsamehe mhezaji wa timu hiyo, Obrey Chirwa kutokana na kitendo alichomfanyia
Mchezaji wa Yanga, Obrey Chirwa wa pili (kushoto), akimkataza mpiga picha asipige picha wakati wa kusuruhisha mgogoro wake na mpiga picha wa Kampuni ya New habari 2006 LTD, John Dande kutokana na mchezaji huyo kupiga
No comments:
Post a Comment