Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondary, Miembe Saba iliyopo Mlandizi Mkoa wa Pwani juzi baada ya kuwakabidhi Kompyuta ili kujiongezea uwezo katika masomo ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia kompyuta nyingine kwa Shule Kilangalanga mkoani humo kwa kushirikiana na Taasisi ya Bridge For Change. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa katika picha
ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondary, Miembe Saba na Shule ya Sekondary, Kilangalanga zilizopo
Mlandizi Mkoa wa Pwani juzi baada ya kuwakabidhi Kompyuta ili
kujiongezea uwezo katika masomo
Wanafunzi wa Shule ya Sekondary Kilangalanga wakiwa wamebeba kompyuta walizo kabidhiwa na Vodacom Tanzania
Mkurugenzi na mwanzilishi wa Taasisi ya Bridge For Change, Ocheck Msuva, akizungumza wakati wa hafla ya kuwakabidhi Kompyuta za kujiongezea uwezo katika masomo kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania
Katibu Tawala Wilaya ya Kibaha, Sozi Ngate (kulia) akipokea Kompyuta kwa niaba ya wanafunzi wa Shule za Sekondary, Miembe Saba na Kilangalanga, kutoka kwa viongozi wa Vodacom na Taasisi ya Bridge For Change katika hafla iliyofanyika mkoani humo. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Ofisa Mahusiano wa Vodacom, Matina Nkurlu akitoa neno la shukran baada ya Kampuni hiyo kukabizi Komputya
No comments:
Post a Comment