Wednesday, December 27, 2017

YANGA WAPIGA TIZI LA KUFA MTU KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MECHI DHIDI YA MBAO FC YA MWANZA

 Wachezaji wa Yangawakifanya mazoezi ya kukimbia wakati wakipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa ligi Kuu dhidi ya Mbao FC ya jijini Mwanza

 Wachezaji wa Yanga wakifanuya mazoezi ya mwishomwisho kwa ajili ya mcchezo wao dhidi ya Mbao FC

Tashishimbi, kushoto akichuana na, Hassan Kessy, wakati walipokuwa wakifanya mazoez kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Sunday, December 24, 2017

AZAM YAANZA VYEMA YAIFUNGA TIMU YA AREA C UNITED TOKA DODOMA

 Mchezaji wa timu ya Azam FC, Enock Atta kushoto akiwatoka wachezji wa timu ya Area C United katika mchezo wao kombe la FA
Wachezaji wa Azam wakishingilia moja ya mabao yao dhidi ya Area C

Friday, December 22, 2017

SIMBA YAGEUKA NYAU MBELE YA GREEN WARRIOUS KOMBE LA FA

 John Bocco wa Simba kulia akijalibu kumtoka nchezaji wa Green Warriours wakati wa mchezo wao wa kombe wa FA

Friday, December 15, 2017

YANGA KUINGIA KATIKA MFUMO WA HISA

Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa kulia, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu timu hiyo kuingia katika mfumo wa hisa Dar es Salaam jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG

TIMU YA MPIRA WA KIKAPU WALEMAVU WAANZA MAZOEZI VIWANJA VYA JK KIKWETE DAR ES SALAAM

 Wachezaji wa timu ya walemavu wakifanya mazoezi ya mpira wa kikapu katika viwanja vya JK Kikwete Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Wachezaji wa timu ya walemavu wakifanya mazoezi ya mpira wa kikapu katika viwanja vya JK Kikwete Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG

YANGA WAENDELEA NA MAZOEZI UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM

 Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi leo katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi leo katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Monday, December 11, 2017

KAMPUNI YA PMM YAKWAMA KUWALIPA KWA MUDA WAKAZI WA BUGURUNI NA VINGUNGUTI DAR ES SALAAM

 Msemaji wa Kampuni ya PMM akizungumza na wakazi wa Buguruni na Vingunguti Dar es Salaam kutoana na kamuni hiyo kushindwa  kuwalipa fidia wakazi hao kwa wakat. PICHA NA DOUBLE  J BLOG
Wananchi wa Buguruni na Vingunguti Dar es Salaam wakilalamika baada ya Kampuni ya PMM kushindwa kuwalipa fidia wakazi hao kwa madai ya kutaka kuwahamisha. PICHA NA DOUBLE  J BLOG

Thursday, December 7, 2017

SIMBA B WAENDELEA NA MZOEZI UWANJA WA KINESIMchezaji wa Simba B, Athuman Pogba, akimtoka, Luka Simba, wakati walipokuwa wakifanya mazoezi yaliyofanyika Uwanja wa KinesiDar es Salaam leo. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Tuesday, December 5, 2017

MUHIMBILI WAFANYA UPASUAJI MKUBWA


Daktari Bingwa wa upasuaji ubongo na uti wa mgongo, Nicephorus Rutabasibwa (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili Kitengo cha Mifupa (MOI), Dk. Respiaus Boniface na Ofisa Ustawi (kushoto), Sophia Nasson, wakiwa na Anna Mwarabu aliyembeba mtoto wake aliyefanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa katika hospitali hiyo, Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG

WABUNGE WA TANZANIA WAWAFUNGA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI


Mbunge wa Tanzania, Salma Kikwete, akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji  wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Kyomuliangi Charllote, katika mchezo wa netiboli uliofanyika katika Uwanja wa Ndani wa Taifa jana, katika mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Sunday, December 3, 2017

SIMBA WAKUBALI YAISHE WAMKABIDHI TIMU MOHAMED DEWJI MO

 Mashabiki wa simba wakiwa katika foleni kuingia kwenye  mkutano

 Shabiki wa Smba akiwa na fulaha
 MO kulia akipokea cheti
 Bi Hindu akimpongeza MO