WABUNGE WA TANZANIA WAWAFUNGA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI
Mbunge wa Tanzania, Salma
Kikwete, akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki,
Kyomuliangi Charllote, katika mchezo wa netiboli uliofanyika katika Uwanja wa
Ndani wa Taifa jana, katika mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika
Mashariki. PICHA NA DOUBLE J BLOG
No comments:
Post a Comment