MUHIMBILI WAFANYA UPASUAJI MKUBWA
Daktari Bingwa wa upasuaji ubongo na uti wa mgongo,
Nicephorus Rutabasibwa (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili
Kitengo cha Mifupa (MOI), Dk. Respiaus Boniface na Ofisa Ustawi (kushoto),
Sophia Nasson, wakiwa na Anna Mwarabu aliyembeba mtoto wake aliyefanyiwa
upasuaji mkubwa wa kichwa katika hospitali hiyo, Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG
No comments:
Post a Comment