Thursday, November 30, 2017

AZAM YAJITOSA KUONYESHA CHALENGE


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Midia, Tido Mhando (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akitanga kuingia mkataba na baraza la vyama vya soka barani Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kuonyesha mechi zote za Kombe la Challenge (kushoto) ni meneja mauzo wa azam, John Mbelle na (kulia) ni meneja uzalishaji wa azam, Chales Hillary.PICHA NA DOUBLE J BLOG

Tuesday, November 28, 2017

MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA, TUNDU LISSU, KENYAMakamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Mbunge wa Singida, Tundu Lissu, wakati alipomtembele katika Hospitali aliyolazwa nchini Kenya.

RAZA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA MAJIMBO KUMI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA WAZIRI MKUUWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Uzini, Mohamed Raza
 Waziri Mkuu akiangalia vifaa vya michezo
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katikati, akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda vikombe vilivyotolewa na, Mbunge, Mohamed Raza kulia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katikati akipokea jezi kutoka kwa Mbunge wa Uzini, Mohamed Hassam Raza, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Sunday, November 26, 2017

SIMBA NA LIPULI KAMA YANGA NA PRISONS NGOMA NDINDI

 Beki wa Simba, Mohamed Huesin (kushoto) akimtoka mchezaji wa Lipuli, Martin Kazila wakati w mchezo wao wa ligi Kuu leo

 Wachezaji wa Simba wakishangilia


 Kikosi cha Lipuli


Kikosi cha simbaYANGA NA TANZANIA PRISONS HAKUNA MBABE


Mshambuliaji wa Yanga, Obery Chirwa (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa Tanzania Prisons wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika katika Uwanja wa Chamazi jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Winga wa Yanga, Emannuel Martn (kulia), akiwania mpira na mchezaji Tanzania Prisons, Kassim Hamis, wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu jana. PICHA NA DOUBLE J BLOGWinga wa Yanga, Emannuel Martn (kulia), akipiga shuti mpira mbele ya mchezaji Tanzania Prisons, Kassim Hamis, wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG


 Kipa wa Tanzania Prisons, Aaron Karambo, akiangalia mpira ulioingia goli kwake na kuipa Yanga bao la kusawazisha wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu. jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Mashabiki wa Yanga wakishanglia baada ya kupata bao la kusawazisha dhidi ya Tanzania Prisons

Thursday, November 23, 2017

POLISI USALAMA BARABARANI KITENGO CHA PIKIPIKI WAFANYA MAZOEZI KUJIANDAA NA SHEREHE YA MEI MOSI


Kiongozi wa misafara ya viongozi Kitaifa na Kimataifa Khalfan Said katikati, akiongoza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya Sherehe za mei mosi Dar es Salaam. PICHA NA DUOBLE J BLOG

WANARIADHA WA NJOMBE WAFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KITAIFA

Wanariadha wa Mkoa wa Njombe wakifanya mazoezi ya kukimbia kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya kitaifa leo. PICHA NA DUOBLE J BLOG

WACHEZAJI YANGA WAENDELEA NA MAZOEZI KUIVAA PRISON
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo. PICHA NA DUOLBE J BLOG

MABONDIA WA TIMU YA TAIFA YAFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA MICHANO YA MADORA

Mabondia wa timu ya Taifa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa dares Salaam kwa ajili ya mashindano madora. PICHA NA DUOBLE J BLOG

Wednesday, November 22, 2017

WACHINA WANAODAIWA KUCHAFUA MAZINGIRA WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR ES SALAAM LEOWachafuzi wa mazingira raia wa China, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi, baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Tuesday, November 21, 2017

BARABARA YA KIVULE YALETA USUMBUFU KWA WATUMIAJI
Magari yakipita katika mazingira magumu kutokana na barabara ya Kitunda Kivule Dar es Salaam kuhalibika vibay. PICHA NA DOUBLE J BLOG

CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA NAFASI MBALIMBALI


Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey PolePole akizungumZa na wanahabari wakati akitangaza majina yalioteuliwa kugombea nafasi za uongozi na Halmashauri Kuu CCM NEC Dar es Salaam jana PICHA NA DOUBLE J BLOG

Wednesday, November 15, 2017

MABONDIA WASWEKWA MAHABUSU JIJINI DAR ES SALAAM

 Baadhi ya mabondia wa Tanzania wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo
 Baadhi ya mabondia wa Tanzania wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo kuingia kwenye chumba cha Mahabusu. PICHA NA DOUBLE J BLOG

MAHABARIA TANZANIA WAJIPANGA ZAIDI KUBOLESHA HUDUMA

 Baadhi ya mabaharia

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kulia akiangalia zawadi aliyopewa na mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kulia akipokea zawadi kutoka kwa mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kushoto akizungumza na viongozi wa mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA DOUBLE J BLOG