Sunday, November 26, 2017
YANGA NA TANZANIA PRISONS HAKUNA MBABE
Mshambuliaji wa Yanga, Obery Chirwa (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa Tanzania Prisons wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika katika Uwanja wa Chamazi jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Winga wa Yanga, Emannuel Martn (kulia), akiwania mpira na mchezaji Tanzania Prisons, Kassim Hamis, wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Winga wa Yanga, Emannuel Martn (kulia), akipiga shuti mpira mbele ya mchezaji Tanzania Prisons, Kassim Hamis, wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Kipa wa Tanzania Prisons, Aaron Karambo, akiangalia mpira ulioingia goli kwake na kuipa Yanga bao la kusawazisha wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu. jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Mashabiki wa Yanga wakishanglia baada ya kupata bao la kusawazisha dhidi ya Tanzania Prisons
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment