AZAM YAJITOSA KUONYESHA CHALENGE
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Midia, Tido Mhando
(katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati
akitanga kuingia mkataba na baraza la vyama vya soka barani Afrika Mashariki na
Kati (CECAFA) kuonyesha mechi zote za Kombe la Challenge (kushoto) ni meneja
mauzo wa azam, John Mbelle na (kulia) ni meneja uzalishaji wa azam, Chales
Hillary.PICHA NA DOUBLE J BLOG
No comments:
Post a Comment