Baadhi ya mabaharia
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kulia akiangalia zawadi aliyopewa na mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kulia akipokea zawadi kutoka
kwa mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kulia ni Mtendaji Mkuu
wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA
DOUBLE J BLOG
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kushoto akizungumza na viongozi wa mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kulia ni Mtendaji Mkuu
wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA
DOUBLE J BLOG
No comments:
Post a Comment