Baadhi ya wanajumuiya ya Khoja wakitoa damu wakati juhuiya hiyo ilipojitolea damu kwa ajili ya mfuko wa Taifa Dar es Salaam jana Picha na Double J Blog
Mtaalamu wa afya jutoka Wizara ya afya na ustawi wa jamii, Peter Chawai akimtoa damu mmoja wa jumuiya hiyo
Baadhi ya wanajumuiya ya Khoja wakisubili kujiandikisha kutoa damu wakati juhuiya hiyo
ilipojitolea damu kwa ajili ya mfuko wa Taifa Dar es Salaam jana Picha
na Double J Blog
No comments:
Post a Comment