Tuesday, January 9, 2018

MUSLIM HASSANAL WA CHADEMA AJIUNGA NA CCM PICHA NA DOUBLE J BLOG

 Aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal daada ya kujiunga na CCM Dar es Salaam leo

 Aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal, akilakiwa na wanachama wa CCM daada ya kujiunga na caham hicho Dar es Salaam leo. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philipo Mangula kulia akimsalimu aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal daada ya kujiunga na CCM Dar es Salaam leo


No comments:

Post a Comment