Winga wa Yanga, Emannuel Martin katikati, akijalibu kuwatoka wachezji wa URA 
 Mchezaji wa Yanga, Ibrahim Ajib kulia, akipambana na mchezaji wa URA, Kabaga Nicholas, wakati wa mchezo wa Nusu Fainal ya Kombe la Mapinduzi
Mshambuliaji wa Ynga, Obrey  Chirwa, katikati, akiwaruka wachezaji wa URA ya Uganda katika mchezo wao wa Nusu Fainali ya michuano ya kombe laMapinduzi uliofanyika kwenye Uwanja wa  Amani PICHA NA DOUBLE J BLOG
No comments:
Post a Comment