Sunday, January 7, 2018

MKUTANO WA MATAWI YA YANGA WAKWAMA


Wanachana wa Klabu ya Yanga matawi ya Dar es Salaam wakiwa nje ya jengo la klabu hiyo kusubili hatma ya mkutano wao baada ya viongozi wao kuitwa kituo cha Polisi. PICHA NA DOUBLE J BLOG

No comments:

Post a Comment