Mchezaji Gofu wa Tanzania Richard Mtweve akipiga kipira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam
Mchezaji Gofu wa Rwanda, James Ndikumana akitumbukiza akifunga wakati wa
mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika
viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam
Mchezaji Gofu wa Ethiopia akipiga kipira wakati wa
mashindano ya mchezo huo kwa nchi za Afrika uliofanyika jana katika
viwanja vya GymKhana jijini Dar es Salaam
Mchezaji Gofu wa Rwanda, Frangois H, akijiandaa kupiga kipira wakati wa

Mchezaji Gofu wa Tanzania, Isace Wanyeche akipiga kipira wakati wa

Katibu wa Ubalozi wa China hapa nchini, Liu Yun
(kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu ubalozi
huo kudhamini mashindano ya Wushu ya Kimataifa yatakayofanyika hivi karibuni
jijini Dar es Salaam, (kushoto) ni Rais wa mchezo huo hapa nchini, Mwarami
Mitete.
Katibu Mkuu wa mchezo wa Wushu, Sempai Kapipa kushoto akizungumza na wanahabari Dar es Salaam jana kuhusu maandalizi ya mchezo huo
No comments:
Post a Comment