Wachezaji wa Taifa Stars, Said Ndemla (kulia), na Elis Maguli wakiwania mpira wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Agost 29 kwa mandalizi ya mchrzo wao wa kirafiki dhidi ya Botswana
Wachezaji wa Stars
Wachezaji wa Stars
Meneja wa Taifa Stars, Daniel Msangi (kulia) akimkabidhi kikombe mchezaji wa timu hiyo, Shiza Kichuya baada ya kuibuka kuwa mchezaaji aliyefunga bao zuri katika mchezo wa ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Shiza Kichuya akiwa ameshikilia kikombe baada ya kuibuka kuwa mchezaaji aliyefunga bao zuri katika mchezo wa ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Kocha wa Stars,Salum Mayanga (kushoto), akizungumza na mmoja wachezaji wa timu hiyo
No comments:
Post a Comment