Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited na Mlezi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation, Anita Gimero Waitara ( wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Vailet Samson Mwazembe ( wa tatu kushoto ) wakikabidhi mbuzi kwa mshindi wa kwanza wa Bonanza la kijana jitambue wa timu ya Kitunda FC, Kapteni Joseph Kateti ( kulia) jijini Dar es Salaam jana.Wengine kutoka kushoto ni Msemaji wa Okoa Jamii Kupitia Saratani ( OJAKUTA), Hadija Kondo na Mwenyekiti wake, Anne Migila.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited na Mlezi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation, Anita Gimero Waitara akizungumza wakati wa Bonanza la kijana jitambue liliofanyika katika viwanja vya Kitunda jijini Dar es Salaama jana. Bonanza hilo limehusidha timu 6 zilizopo katika kata ya Kitunda ni mwendelezo wa Taasisi kuksanya vijana pamoja na kuwakomboa wajitambue kifikra na kuepuka wizi, ubakaji, utumiaji wa madwa ya kulevya, ushoga na kuwa na maono endelevu.
Mkurugenzi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation,Vailet Samson Mwazembe akizungumza wakati wa Bonanza la kijana jitambue liliofanyika katika viwanja vya Kitunda jijini Dar es Salaama jana. Bonanza hilo limehusidha timu 6 zilizopo katika kata ya Kitunda ni mwendelezo wa Taasisi kuksanya vijana pamoja na kuwakomboa wajitambue kifikra na kuepuka wizi, ubakaji, utumiaji wa madwa ya kulevya, ushoga na kuwa na maono endelevu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited , Anita Gimero Waitara ( aliyevaa nguo ya njano ) akikabidhi zawadi ya pesa taslimu shilingi laki moja kwa washindi wa kwanza wa bonanza la kijana jitambue, Kitunda Fc lililofanyika katika viwanja vya Kitunda jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited , Anita Gimero Waitara akitoa zwadi kwa mfungaji bora wa Bonanza hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited , Anita Gimero Waitara ( wa pili kushoto) akitoa zawadi ya mpira kwa mshindi wa tatu Bonanza la kijana jitambue wa Timu ya Santos Fc, Yusufu Ramadhani jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited , Anita Gimero Waitara akitoa zawadi ya mipira miwili kwa mshindi wa pili Bonanza la kijana jitambue wa Timu ya Chembe Fc, Akida Mohamed jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya Vijana wa kata ya Kitunda wakihudhuria kusikiliza semina ya kijana jitambue baada ya kumaliza bonanza hilo lililofanyika katika viwanja vya kitunda jijini Dar es Salaama jana.
No comments:
Post a Comment