Thursday, July 27, 2023

CRDB YAWAPA MITAJI WANACHAMA WA OMTO KUPITIA IMBEJU


 Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( wa pili kushoto), Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB, Vanessa Ng`wigulu ( kushoto ), Mwenyekiti wa kikundi cha Kipaji Changu, Anastazia Mateo ( wa pili kulia ) na Katibu wa Wanawake wa OMTO, Kandida Makubi wakionyesha fomu za kujaza kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya taasisi hiyo jijini Dar es Salaama leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Ofisa Maendeleo Kata ya Kitunda, Betty Mzava akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB, Vanessa Ng`wigulu akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule akitambulisha baadhi ya walimu wa vikundi vilivyopo chini ya taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Katibu wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Eliwaza Joseph akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( kushoto)  akimtambulisha Katibu wa Wanawake wa taasisi hiyo, Kandida Makubi wakati wa kikao hicho jijini Dar es Salaam leo


Mweka Hazina wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Eugenia Shayo akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya viongozi waalikwa wakizungumza katika hafla hiyo


Maofisa wa Benki ya CRDB wakiendelea na zoezi la kufungua akaunti za IMBEJU jijini Dar es Salaam leo kwa wanachama wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) .Baadhi ya Viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Anna Haule jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment