Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana
Mchezaji mpya wa Yanga kutoka Falme za Kiarab, Issa Anifowoshe akiwa Uwanja wa Uhuru jana
Hassan Kessy akifanya mazoezi ya viungo
Wachezaji wa Yanga wakiwania mpira wakati walipokuwa wakifanya mazoezi jana
Mchezaji mpya wa Yanga kutoka Falme za Kiarab, Issa Anifowoshe akiwa Uwanja wa Uhuru jana
Kocha wa Yanga Lwandamina kulia akiwa na wasaididhi wake wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani dhidi ya Simba katika Uwanja wa Uhuru jana
No comments:
Post a Comment