Wednesday, August 16, 2017
MBUNGE JIMBO LA MANONGAKUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), SEIF KHALIFAN GULAMALI ALIPOFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA KIWANDA CHA MANONGA GINERY KUANGALIA MAENDELEO YAKE
Mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Khamis Gulamali (kushoto), akioneshwa moja kamba na mmiliki wa kiwanda cha Manonga Genery, Urvesh Rajan zinatokana na zao la pamba katika kuona maendeleo ya ufufuaji wa kiwanda hicho leo Wilayani Igunga kata ya Choma. Katikati ni katibu wa kiwanda cha Nyuzi Tabora.
Mmiliki wa Kiwanda Cha Manonga Genery, Urvesh Rajan kulia,akizugumza na Mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Khamis Gulamali (katikati), alipotembelea kuona maendeleo ya ufufuaji wa kiwanda hicho hivi karibuni Wilayani Igunga Kata ya Choma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Igombensabo, Lazaro Ngullo .
Mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Khamis Gulamali akipewa moja ya maelezo ya mashine ya zao la Pamba ndani ya Kiwanda Cha Manonga Genery, wakati alipotembelea kuona maendeleo ya ufufuaji wa Kiwanda hicho kilichopo Wilayani Igunga Kata Choma
hivi karibuni
Mmiliki wa Kiwanda Cha Manonga Genery, Urvesh Rajan Kushoto akimpa maelekezo Mbunge wa Manonga, Seif Khamis Gulamali (katikati), ndani ya Kiwanda hicho alipotembelea na kuona maendeleo ya ufufuaji wa kiwanda kilichopo Wilaya ya Igunga kata ya Choma
Mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Khamis Gulamali wa pili (kushoto), akiongozana na viongozi wa Serikali pamoja na wahandisi walipotembelea kiwanda hicho kilichopo Wilayani Igunga kata ya Choma
Mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Khamis Gulamali (katikati), akisikiliza kwa makini maelekezo kutoka kwa mmiliki wa Kiwanda Cha Manonga Genery, Urvesh Rajan, alipotembelea kuona maendeleo ya ufufuaji wa kiwanda hicho
Mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Khamis Gulamali akisaliamiana kwa furaha na mmiliki wa Kiwanda Cha Manonga Genery, Urvesh Rajan, alipotembelea kuona maendeleo ya Kiwanda hicho kilichopo Wilayani Igunga kata Choma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment