Tuesday, August 15, 2017

Picha Kikapu na Riadha

  Mchezaji wa timu ya Mpira wa kikapu ya Tanga
United kulia akijaribu kumtoka mwenzake wa timu ya Korogwe Hits katika
mchezo wa Ligi ya kikapu mkoa wa Tanga ambapo Tanga United ilishinda
vikapu 93 kwa 56 mchezo uliochezwa uwanja wa Bandari mjini Tanga.

Baadhi ya wanariadha wa timu ya Mlimani Academy ya jijini Dar es Salaam, wakifanya ,mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana wakijiandaa na mashindano mbalimbali yanayotarajia kufanyika hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment