Alfonce Simbu kushoto akiwa na wenzake baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalim Nyerere Dar es Salaam jana wakitokea nchini Uingereza walikokwenda kushiriki mashindano ya riadha ya Dunia
Alfonce Simbu kushoto akiwasalimia wazazi wake
Alfonce Simbu kushoto akiwa na mwanawe
Alfonce Simbu kulia akionyesha tuzo yake
Alfonce Simbu akiwa amepozi
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo. Dk, Harrison Mwakyembe akipokea tuzo ya, Alfonce Simbu, baada ya kuwsili Uwanja wa ndege
Mmoja wa makamanda wa JKT akionesha tuzo ya Simbu
Wazazi wa Simbu, Felex Simbu kushoto na Salome Ndandu wakionyesha tuzo ya mwana wao
Waziri, Mwakyembe kulia akipokea bendera
Wanaridha wakikabidhi bendera kwa wazir na viongozi waliofika kuwapokea
No comments:
Post a Comment