Sunday, August 20, 2017

ULIO CUP ILIVYO FANA PAMOJA NA MICHEZO MBALIMBALI VIWANJANI

 Msaga Sumu akilishambulia jukwaa katika uzinduzi wa michuano ya Urio CUP



 Sholo Mwamba kulia akitumbuiza

 Sholo Mwamba kulia akitumbuiza

 Wasanii wa kundi la Sholo Mwamba litumbuiza katika michuano ya Urio CUP
 Diwani wa Kata ya Kunduchi, Michael Urio akipiga mpira kuzindua rasmi michuanoya urio CUP
  Diwani ya Kata ya Kunduchi, Michael Urio kushoto, akisalimiana na wachezaji wa Salasala FC
 Diwani ya Kata ya Kunduchi, Michael Urio kushoto, akisalimiana na wachezaji wa VIA FC


Kikosi cha Timu ya Via ya Tegeta 
 Kikosi cha timu ya Salasala FC
Wachezaji wa timu ya Veterani ya Kitunda Kivule Rameck Aki (kushoto) na, Isihaka Maili, waakiwania mpira wakati wilipokuwa wakifanya mazoei katika viwanja vya Shule ya Msingi Kivule

No comments:

Post a Comment