Rais wa Simba, Evance Aveva (kushoto), na makamu wake, Geofrey Nyange (Kaburu) wakisindikizwa na Askari Magereza kuingia katika Chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Darces Salaam kusikiliza kesi inayowakabili jana.
Baadhi ya Viongozi wa Chama Cha Wananchi CUF wakiwa katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam kusikiliza rufaa dhidi ya wabunge wa viti maalum walioachishwa ubunge na upande wa Pro Lipumba
Wabunge wa viti Maalum CUF wakiwa katika viunga vya Mahakama Kuu Dar es Salaam jana
Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi, Uhusiano na Umma wa CUF,
Mbarara Maharagande kushoto akizungumza na wanahabari baada ya kutoka MAahakamani
Mwanasheria wa kujitegemea anayewatetea wabunge wa viti maalum CUF, Peter Kibatara akizungumza na wanahabari jana
No comments:
Post a Comment