Sunday, September 3, 2017

SIMBA WAIPIGA HARD ROCK YA ZANZIBAR 5-0 KATIKA MECHI Y KIRAFIKI ILIYOFANYIKA KWENYE UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM,

 Simba ikishangilia

 Wachezaji wa Simba wakishangilia



Biki wa Simba, Mohamed Husein (TShabalala) juu, akiwa ameluka kwanja la mchezaji timu ya Hard Rock kutoka Zanzibar, Mussa Mude wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salam jana Simba imeshinda mabao 5-0. Picha na Jumanne Juma




No comments:

Post a Comment