Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana. Picha Zote na Jumanne Juma
Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog kulia na msaidizi wake, James Mayanja wakijadiliana
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akifunga vizuri kiatu chake
Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima kushoto, akijaribu kuwatoka wachezaji wenzake wakati wa mazoezi yaliofanyka katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Septemba 6
John Bocco katikati akiwatoka wachezaji wenzake
John Bocco katikati akiwatoka wachezaji wenzake
No comments:
Post a Comment