LIGI YA WANAWAKE YAYIKIA TAMATI LEO KATIKA UWANJA WA KARUME
Mchezaji wa timu Kisarawe Queens, Farajika Miraji akiwatoka wachezaji
Morogoro
Sisters, wakati wa michuano ya ligi ya wanawake uliofanyika katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam Morogoro meibuka na ushindi wa mabao 12-0. Picha na Jumanne Juma
Mchezaji wa timu Kisarawe Queens, Farajika Miraji akimtoka mchezaji
Morogoro
Sisters, Mariam Seseme, wakati wa michuano ya ligi ya wanawake uliofanyika katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam Morogoro meibuka na ushindi wa mabao 12-0. Picha na Jumanne Juma
No comments:
Post a Comment