Sunday, October 15, 2017

MICHEZO MBALIMBALI UWANJA WA KARUME DAR ES SALAAM

 Kijana anayelelewa na TFF, Hassan Bakary (katikati) akimiliki mpira huku akuzongwa na wachzaji wa timu ya Ladwa katika mchezo wao wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam. Picha na Double J Blog

 Vijana wanaolelewa na Shirikishola mpira wa miguu TFF wakichuana kuwania mpira wakati walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam Picha na Double J Blog

 Wacheza wa timu ya Fogo FC, wakifanya mazoezi kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya vijana wanaolelewa na TFF Dar es Salaam jana. Picha na Double J Blog

Wacheza wa timu ya Fogo FC, wakifanya mazoezi kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya vijana wanaolelewa na TFF Dar es Salaam jana. Picha na Double J Blog

No comments:

Post a Comment