Monday, March 21, 2022

TBS YAKUTANA NA WAHARIRI DAR

  Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Lazaro Msasalaga ( wa pili kushoto) akizungumza wakati wa jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari lenye lengo la kutoa huduma za upimaji na uandaaji wa viwango. Hafla hiyo imefanyika makao makuu wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.

 

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Viola Masako akizungumza wakati wa jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari lenye lengo la kutoa huduma za upimaji na uandaaji wa viwango. Hafla hiyo imefanyika makao makuu wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.

 

Meneja Viwango wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Yona Afrika akitoa elimu ya umuhimu wa ushirikshi kwenye uandaaji wa viwango wakati wa jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari lenye lengo la kutoa huduma za upimaji na uandaaji wa viwango. Hafla hiyo imefanyika makao makuu wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.

 

Meneja Upimaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Makene akizungumza wakati wa jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari lenye lengo la kutoa huduma za upimaji na uandaaji wa viwango. Hafla hiyo imefanyika makao makuu wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.

 

Baadhi ya Viongozi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakiwa katika picha ya pamoja na wahariri wa vyombo vya habari baada ya kumaliza jukwaa hilo.

 

No comments:

Post a Comment