Sunday, November 8, 2026

RAMAL DAY CARE CENTRE YAAGA DARASA LA AWALI KWA SHEREHE ZA KIPEKEE

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Ramal Day Care Centre, Bw. Almasi Lukindo, akizungumza katika sherehe ya mahafali ya sita (6) ya kuwaaga wahitimu wa elimu ya awali iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka 2026 shule ina jumla ya wahitimu kumi na tatu (13)  ambao wamejifunza kusoma, kuandika,kuhesabu, kuzungumza kiswahili na kiingereza,nidamu, usafi pamoja na maadili mema.


Mkuu wa Shule ya Ramal Day Care Centre, Bi. Kulthum Majid Adam akiongozana na wanafunzi wahitimu kuelekea katika sherehe ya mahafali ya sita (6) ya kuwaaga wahitimu wa elimu ya awali iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana.



Baadhi wa wanafunzi wa Shule ya Ramal Day Care Centre wakitumbuiza wakati wa sherehe ya mahafali ya sita (6) ya kuwaaga wahitimu wa elimu ya awali iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana.


Mkuu wa Shule ya Ramal Day Care Centre, Bi. Kulthum Majid Adam ( kulia)  akitambulisha baadhi ya walimu wa shule hiyo wakati wa sherehe ya mahafali ya sita (6) ya kuwaaga wahitimu wa elimu ya awali iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana.


Meneja wa Shule ya Ramal Day Care Centre, Bi. Rabia Mahfudhi, akizungumza katika sherehe ya mahafali ya sita (6) ya kuwaaga wahitimu wa elimu ya awali iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka 2026 shule ina jumla ya wahitimu kumi na tatu (13)  ambao wamejifunza kusoma, kuandika,kuhesabu, kuzungumza kiswahili na kiingereza,nidamu, usafi pamoja na maadili mema.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kingalame Foundation, Mhe. Selina Kingalame akizungumza na wazazi pamoja wanafunzi katika sherehe ya mahafali ya sita (6) ya kuwaaga wahitimu wa elimu ya awali wa Shule ya Ramal Day Care Centre  iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana. Kingalame amewaalika wanafunzi na walimu washule hiyo kutembelea Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakati wa vikao vya bajeti ya mwaka 2027.


Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Ramal Day Care Centre wakipiga makofi wakati wa sherehe ya mahafali ya sita (6) ya kuwaaga wahitimu wa elimu ya awali iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana.

Wahitimu wa Elimu ya Awali wa Shule ya Ramal Day Care Centre wakiimba wimbo wa kuwaaga wanafunzi wenzao wakati wa hafla hiyo jijini Dar es Salaam jana.














Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kingalame Foundation, Mhe. Selina Kingalame akikabidhi vyeti vya kuhitimu elimu ya awali kwa wanafunzi wa Shule ya Ramal Day Care Centre wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. 

 

No comments:

Post a Comment