Wednesday, November 22, 2017

WACHINA WANAODAIWA KUCHAFUA MAZINGIRA WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR ES SALAAM LEO



Wachafuzi wa mazingira raia wa China, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi, baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Tuesday, November 21, 2017

BARABARA YA KIVULE YALETA USUMBUFU KWA WATUMIAJI




Magari yakipita katika mazingira magumu kutokana na barabara ya Kitunda Kivule Dar es Salaam kuhalibika vibay. PICHA NA DOUBLE J BLOG

CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA NAFASI MBALIMBALI


Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey PolePole akizungumZa na wanahabari wakati akitangaza majina yalioteuliwa kugombea nafasi za uongozi na Halmashauri Kuu CCM NEC Dar es Salaam jana PICHA NA DOUBLE J BLOG

Wednesday, November 15, 2017

MABONDIA WASWEKWA MAHABUSU JIJINI DAR ES SALAAM

 Baadhi ya mabondia wa Tanzania wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo
 Baadhi ya mabondia wa Tanzania wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo kuingia kwenye chumba cha Mahabusu. PICHA NA DOUBLE J BLOG

MAHABARIA TANZANIA WAJIPANGA ZAIDI KUBOLESHA HUDUMA

 Baadhi ya mabaharia

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kulia akiangalia zawadi aliyopewa na mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kulia akipokea zawadi kutoka kwa mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Mkonda kushoto akizungumza na viongozi wa mabaharia wa Tanzania wakati wa mkutano wao kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama caha mabaharia Tanzania Kapteni, Josiah Mwakibuja. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Monday, November 13, 2017

LULU AHUKUMIWA MIAKA MIWLI JELA


 Msanii wa Filamu Elizabeth Michael Lulu akiingia katika Mahakama Kuu Dar es Salaam jana kabla ya kusomewa hukumu yake.

                          
                                 Lulu akiwa katika masikitiko

Lulu akiwa katika gari la Polisi kupelekwa jela kutumikia kifungo cha miaka miwili.Picha na Double J Blog