Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri akikata utepe kuzindua mradi wa bodaboda wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( kushoto ) na Mwasisi wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola (kulia) wakiwa katika maandamano na baadhi wa wanawake wajsiriamali wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.
Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto (katikati) akimkabidhi cheti cha shukrani Mwasisi wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola ( kulia) wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Anna Haule.
Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto akikabidhi msingi wa biashara kutoka kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kwa mmoja wa wazee wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.
Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto akikabidhi vifaa vya shule kutoka kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kwa mmoja wa watoto wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri akizungumza wakati wa wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Athumani Kigwe ( kulia ) na Mwanachama wa Taasisi hiyo, Twaha Sadiki ( waliopanda pikipiki) wakijaribu pikipiki baada ya kukabidhiwa na taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wanachama wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakimuaga Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.




















Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Viola Masako akizungumza wakati wa jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari lenye lengo la kutoa huduma za upimaji na uandaaji wa viwango. Hafla hiyo imefanyika makao makuu wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.
Meneja Viwango wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Yona Afrika akitoa elimu ya umuhimu wa ushirikshi kwenye uandaaji wa viwango wakati wa jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari lenye lengo la kutoa huduma za upimaji na uandaaji wa viwango. Hafla hiyo imefanyika makao makuu wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.
Meneja Upimaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Makene akizungumza wakati wa jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari lenye lengo la kutoa huduma za upimaji na uandaaji wa viwango. Hafla hiyo imefanyika makao makuu wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Viongozi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakiwa katika picha ya pamoja na wahariri wa vyombo vya habari baada ya kumaliza jukwaa hilo.
Rais Mstaafu wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola ( katikati) akisindikizwa akiingia katika ukumbi wa Lukolo Inn wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation na Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Omto, Anna Haule.
Mabibi Maendeleo wa kata za Kitunda, Kivule na Mzinga wakiserebuka wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation na Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo yalizindua mfumo wa maendeleo wa wanawake wa kata hizo utakao wezesha wajasiriamali kuwa na pensheni za uzeeni.
Rais Mstaafu wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola akizungumza na wanawake wajasiriamali somo la kujitambua mwanamke katika jamii wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation na Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo yalikusanya kata za Kitunda, Kivule na Mzinga pamoja na kuzindua mfumo wa maendeleo wa wanawake wa kata hizo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited, Anita Waitara akizungumza na wanawake wajasiriamali somo la thamani ya mwanamke katika jamii wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation na Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo yalikusanya kata za Kitunda, Kivule na Mzinga pamoja na kuzindua mfumo wa maendeleo wa wanawake wa kata hizo.
Mmiliki wa Ukumbi wa Lukolo Inn, Anita Lukolo akitoa somo la nidhamu ya uwekezaji katika hafla hiyo.

Baadhi ya wanawake wajasiriamali wakihudhuria katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya GS1, Fatma Kange ( katikati), Rais Mstaafu wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola na Mkurugenzi waTaasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule wakiongozana wakati wa maadhimisho hayo.
