Tuesday, August 22, 2017
SIMBA WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO KUIVAA YANGA
Mohamedi Ibrahim akinyoosha viungo
Mwinyi Kazimoto
Niyonzima akifanya mazoezi ya viungo
Kocha wa Simba wa pili kulia walio simama akiwapa neno wacheza wake
Kocha wa makipa kushoto na Okwi
Sunday, August 20, 2017
ULIO CUP ILIVYO FANA PAMOJA NA MICHEZO MBALIMBALI VIWANJANI
Msaga Sumu akilishambulia jukwaa katika uzinduzi wa michuano ya Urio CUP
Sholo Mwamba kulia akitumbuiza
Sholo Mwamba kulia akitumbuiza
Wasanii wa kundi la Sholo Mwamba litumbuiza katika michuano ya Urio CUP
Diwani wa Kata ya Kunduchi, Michael Urio akipiga mpira kuzindua rasmi michuanoya urio CUP
Diwani ya Kata ya Kunduchi, Michael Urio kushoto, akisalimiana na wachezaji wa Salasala FC
Diwani ya Kata ya Kunduchi, Michael Urio kushoto, akisalimiana na wachezaji wa VIA FC
Kikosi cha Timu ya Via ya Tegeta
Kikosi cha timu ya Salasala FC
Wachezaji wa timu ya Veterani ya Kitunda Kivule Rameck Aki (kushoto) na, Isihaka Maili, waakiwania mpira wakati wilipokuwa wakifanya mazoei katika viwanja vya Shule ya Msingi Kivule

Saturday, August 19, 2017
TFF YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA SOKA KUANZIA UTOTONI
Kocha wa Makipa wa timu ya wanawake Tanzanite, Telly Deodatus kulia, akitoa mazoezi kwa makipa wa timu hiy wakati walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja Karume Dar es Salaam Agost 19
Watoto wanalelewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF wakibeba goli wakati walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Karume Agost 19
Kocha anayewafundisha wa wanalelewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Maalim Salehe akiwaelekeza jambo watoto hao wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Karume Agost 19
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa akizungumza na waandiashi wa habari Dar es Salaam Agost 19 kuhusu kuzagaa kwa habari kuwa Serikali ya Tanzania kuzuiliwa kwa Ndege yake nchini Canada

Subscribe to:
Posts (Atom)