Katibu Mkuu wa Yanga, Chales Mkwasa (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu kuzagaa kwa taarifa ya kugomea mwaliko wa kutambulisha jezi mpya ya timu hiyo iliyoandaliwa na Vodacom (kulia) ni Ofisa habari wa yanga, Dismas Ten na (katikati) ni Mjumbe wa kamati ya Utendaji, Salum Mkemi. Picha na Jumanne Juma
Katibu Mkuu wa Yanga, Chales Mkwasa (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Samaa leo kuhusu kuzagaa kwa taarifa ya kugomea mwaliko wa kutambulisha jezi mpya ya timu hiyo iliyoandaliwa na Vodacom (kulia) ni Ofisa habari wa yanga, Dismas Ten
Mjumbe wa kamati ya Utendaji wa Yanga, Salum Mkemi, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusiana na kuzagaa kwa taarifa za kugomea mwaliko wa kutambulisha jezi mpya ya timu hiyo iliyoandaliwa na Vodacom. Picha na Jumanne Juma
Mjumbe wa kamati ya
Utendaji wa Yanga, Salum Mkemi, akizungumza na waandishi wa habari Dar es
Salaam leo kuhusiana na kuzagaa kwa taarifa za kugomea mwaliko wa
kutambulisha jezi mpya ya timu hiyo iliyoandaliwa na Vodacom (kulia) ni Ofisa
habari wa yanga, Dismas Ten. Picha na Jumanne Juma
No comments:
Post a Comment