Tuesday, August 1, 2017

CRDB NAYO YAHAMIA JENGO JIPYA UPANDE WA KUSHOTO

Benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam imehamia katika jengo jipya lililopo kushoto mwa lile la zamani ambapo zilikuwepo ofisi za  benki hilo




Mkurugenzi  wa CRDB tawi la Mlimani City Allen Killango akiwa katika  ofisi mpya za tawi hilo zilizoko upande wa kushoto wa jengo walilokuwa wanatumia zamani.

Wateja wa Benki ya CRDB tawi la mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye foleni ya kusubiri hiuduma 

 Baadhi ya wateja wa benk ya CRDB wakihudumiwa katika ofisi mpya za tawi hilo Mlimani  jijini  Dar es Salaam jana
 Baadhi ya wateja wa benk ya CRDB wakihudumiwa katika ofisi mpya za tawi hilo Mlimani City Dar es Salaam jana
Baadhi ya Wafanyakazi wa benk ya CRDB Tawi la Mliman City wakiwa kazini baada ya kuhamia jengo jipya lililopo kushoto mwa mliman city jana






Wateja benk ya CRDB kulia wakizungumza na wafanyakazi wa benk hiyo muda mfupi baada ya kuamia ofisi mpya






No comments:

Post a Comment