Diwani wa Kata ya Kigamboni, Dotto Msawa (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa kamati ya maji wa kata hiyo, Juma Mwingamno, katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam
Beki wa Yanga, Haji Mwinyi kulia akiluka kwanja la beki wa Singida United wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-2
Vijana wa kikundi cha KCC kikionyesha mbwembwe zao wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la CCM Kigamboni Dar es Salaam

Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya kupata bao
Mashabiki wa Simba wakiishangilia Singida United wakati wa mchezo kirafiki dhidi ya Yanga
Donald Ngoma katikati akijaribu kuwatoka wachezaji wa Singida United
Ngoma kulia akikimbia na mpira huku akizongwa na mchezaji wa Singida United
Wachezaji wa Singida United wakipongezana
Kipa wa Singida United akipatiwa matibabu
Wachezaji wa Yanga wakijadiliana
Wachezaji wa Singida United wakizungumza na mwamuzi wa mchezo huo
No comments:
Post a Comment