Sunday, August 6, 2017

Mantrac wafanya maonyesho ya mitambo yao ya ujenzi



Baadhi ya watendaji wa kampuni ya Mantrac

Mafundi wa Kampuni ya Mantrac wakiufanyia sevis mtambo wa kampuni hiyo wakati wa maonyesho ya mitambo ya ujenzi ya kampuni hiyo



Baadhi ya wakitembea ndani ya kampuni ya Mantrac wakati wa maonyesho



Mhandisi wa Mauzo wa Kampuni ya Mantrac, Sisti Chuwa kulia, akiwapa maelezo wateja waliofika katika maonyesho hayo

No comments:

Post a Comment