Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akipokea zawadi ya Saa ya
ukutani kutoka kwa Mwenyekiti wa chama cha wanamziki wa Kizazi kipya, Brighton
Mbwana kulia, katika kikao maalumu kilichofanyika Dar es Salaa jana cha Waziri
na wanamziki. Kushoto ni Naibu waziri wa wizara hiyo. Annastazia Wambura.
No comments:
Post a Comment