Wakazi wa Vingunguti Dar es Salaam wakitafuta namna ya kulitoboa Kontena la mafuta baada ya kuanguka jana
Wakazi wa wakazi wa Vingunguti Dar es Salaam wakiteka mafuta katika mtaro
wa maji machafu baada ya kontena la mafuta kuanguka jana
Mmoja wa wakazi wa Vingunguti Dar es Salaam akiteka mafuta katika mtaro wa maji machafu baada ya kontena la mafuta kuanguka jana
Wakazi wa Vingunguti Dar es Salaam wakiwa wamelinzunguka Kontena la mafuta wakiyateka
Mmoja wa watuhumiwa liotoboa kontena hilo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi walofika katika tukio hilo
Wafanyakazi wa Murzah Complex wakikinga mafuta baada ya wananchi kutoboa kontena hilo
Kontena la lililobeba mafuta ya kupikia likipakiwa kwenye gari
Wakizoa mafuta yaliomwagia chini
Video ya wateka mafuta ya kula wakati kontena lilipo anguka
No comments:
Post a Comment