Friday, August 18, 2017

WEMA SEPETU ATINGA NDANI YA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JANA AGOST 18

 Wema akiwa ndani ya chumba cha Mahakama
 Wema wa Pili (kulia), akiteta jambo na mama yake
Wema Sepetu (kushoto), akiwa na Wakili wake, Peter Kibatala wakiteremka ngazi za Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana baada ya kufika hapo kusikiliza tuhuma zinazo mkabili

No comments:

Post a Comment