Thursday, September 7, 2017

AZAM FC WAPIGA TIZI LA KUIUWA SIMBA SEPTEMBA 9

 Kocha wa Azam FC, Mromania. Aristica Cioaba, akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi ya timu hiyo yaliofanyika katika Uwanja wao wa Chmazi
Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakifanya mazoezi katika Uwanja wao wa Chamazi Dar es Salaam juzi usiku

 Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakifanya mazoezi katika Uwanja wao wa Chamazi Dar es Salaam juzi usiku Picha zote na Jumanne Juma

No comments:

Post a Comment