Saturday, September 9, 2017

SIMBA NA AZAM HAKUNA MBABE MCHEZO ULIOFANYIKA CHAMAZI

 Kikosi Cha Simba

 Kikosi Cha Azam FC
 Kocha wa Azam FC, Aristica Cioba

 Mshambuliaji wa Azam FC, Yahaya Mohamed katikati akiwatoka mabeki wa Simba katika mchezo wao wa ligi Kuu
 Nahodha wa Simba, Method Mwanjali chini akimzibiti Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yusuph katika mchezo wao wa ligi Kuu jana timu hizo zilitoka sele ya bila kufungana
 Mashabiki wa Simba
 Mashabiki wa Azam FC

 Mshambuliaji wa Azam FC, Yahaya Mohabed kushoto akijalibu kumtoka beki wa Simba, Salim Mbonde katika mchezo wao wa ligi Kuu uliofnyika Chamazi


Mashabiki wa Simba


No comments:

Post a Comment