KAMPUNI YA UJENZI YA SINGHS & SONSI YAANZA UJENZI WA BARABARA YA KITUNDA HADI KIVULE KWA KIWANGO CHA RAMI
Wakazi wa Kitunda Dar es Salaam wakiliangalia Katapila
la Kampuni ya Ujenzi ya Singhs & Sons likichonga barabara kutoka Kitunda
kati mpaka kivule jijini Dar es Salaam kwa kwa ajili ya ujenzi wa kiwango cha rami. Picha na Jumanne Juma
No comments:
Post a Comment